huyu ndio msanii O-TEN alitamba na track kama, ebu nichek, akipendacho bint, mimi na nyingine kibao
O ten aliitwa na Petter Entertainment kufanya show kama 4.msanii o ten alifika shemu husika ya kwanza ya show,ambayo ilikuwa inafanyikia jj club Tarime. show 3 zingine zilikuwa zinafanyikia geita.walivyo maliza show yeye na promoter wake anayejulikana kwa jina la Petter,walielekea geita kupiga show zilizokuw zimebaki,katika safari ya kuelekea geita walifika mwanza wakachukua madancer 2 na kuelekea geita.
Eneo la Tukio geita.baada ya kumaliza show 2,asubuhi ya kuamkia show 3,o ten aliamka asubuhi akadai kuwa simu yake imepotea basi wakaanza kukaa kikao yeye na promoter wake pamoja na wausika ile hotel ili kujua cm nan kachua,katika maongez yule reception w gesti alikuwa ameweka simu mezani,o ten alivyoona ile cm akaichukuwa na kuweka mfukoni kimasiara akitoka njee huku akivuta sgara,,wahusika wote waliokuwepo pare walijua ni matani,,jamaa kutoka njee akapotea moja kwa moja na akatelekeza nguo na viatu vyake pamoja na v2 vingine kibao,,kufuatilia stendi wakaambiwa kuwa jamaa kaishaa sepa..basi kesi ikawa kwa promoter wake na wale wahusika wakeee wakawekwa ndani....baada ya hapo habari ilifika kwenye radio ya clods fm.
No comments:
Post a Comment