Friday, January 13, 2012

HAWA NDIYO WASANII WALIOISHA FANYA SHOW NA PETTER ENTERTAINMENT SHOW

hi ni list ya wasanii baadhi walio isha piga show ndani ya Tarime katika kumbi zifuatavyo

JJ CLUB. pande za Tarime
WANGI club pande za Nyamongo
MASAFA CLASSIC pande sirari

WOTE hawa wali perform vyema show zao bila uata na bila kuogopa mapanga wala vurugu.
Ukitaka huakika zaid waulize wakupe huakika wa tarime. kuwa ni amani 2.

PETTER INTERTAINMENT INAWATAKIA WASANII WOTE HAWA HERI YA MAFANIKIO ya malengo yao.

Thursday, January 12, 2012

SAM WA UKWEL NDANI YA CLUB BILICANAS LIVE SUNDAY tar 8/1/2012

mwanamziki wa kizazi kipya cha muzik wa bongo flava,atakuwa anaporomosha show yke ya ukwel pale kat


HF ENTERTAINMENT
ilishawai kumuitroduce sam wa ukwel ndani ya mjii wa tarime katika ukumbi wa JJ CLUB.

BILICANAZ CLUB present DULLY SYKES kwa uzinduz wa video zake.

duly sykes msanii wa mziki wa kizaz kipya tanzania kuporomosha shw yke ya ngu ndani ya club bilicanas.

BEN PAUL--nimeachia trck mpya inayoitwa SAMBOIRA.

hellow fans baada ya kuwarusha na track za zilizo hit kama 
nikikupata,
my # 1 fans.,
maumivu
sasa naachia track yangu mpya inayoitwa SAMBOIRA....
thanc all fans wangu.


Petter Entertainment ilisha muitroducu BEN PAUL NDANI YA TARIME. na alifanya show ya ukwel na aliwagusa mabeby wa tarime coz ben paul anaimba r&b ya ukwel.

BEN PAUL--nimeachia trck mpya inayoitwa SAMBOIRA.

hellow fans baada ya kuwarusha na track za zilizo hit kama 
nikikupata,
my # 1 fans.,
maumivu
sasa naachia track yangu mpya inayoitwa SAMBOIRA....
thanc all fans wangu.

HUYU NDIO MSANII WA KWANZA KUFANYA SHOW NA PETTER ENTERTAINMENT NDANI YA TARIME


LINEX SUNDUY MJEDA

BELLE9 NA PROMOTER WAKE WALIVYO TEKWA NJIANI BAADA YA KUMALIZA SHOW NA KUELEKEA HOTELINI

BELLE 9

BELLE9 msanii wa muziki wa bongo flava hapa tanzania.

ikiwa ni kumalizia habar kuhusu mkasa wa bell9.
Belle9 akiwa ndo anamalizia kupiga show katika ukumbi wa WANGI CLUB uliopo Nyamongo Tarime Mara Tanzania.
wakielekea hotel iliyokuwa inaitwa MG HOTEL,mita chache kabla ya kufka getin mbele ya gari alijitokeza m2 kainama dizain kama anafunga kiatu, dereva alikwepesha gar pemben ili kumkwepwa huyo mtu,gari lilivyo  mpisha na kueleea pemben na speed ilikuwa ndogo 2 mana walikuwa tumeisha fika sehemu husika,gafla yule wasikia kioo nyuma kinapasuliwa cha iyo tax waliokuwa nayo,dereva kugeuka na kuuliza nn hicho jamani na kushika brek yule m2 akamvagaa dereva na kfungua mlango wa gari na kumvuta mana alijua ataondosha gari ndipo gafla kundi la watu likavagaa ile gari na kila alikuwa ametaget mlango  sehemu zote nne,.
KILICHO FUATA BAADA YA KUFUNGUA MLANGO NA KINGIA NDANI YA GARI NA SIRAHA
jambazi 1 lilikuwa mlango wa belle9 nyuma kushoto
jambazi 2 lilikuwa upande wa promoter petter kulia mwa gari
katikati ndo alikuwa ni rafk yke bell9 anaye itwa stone.
jambaz jingine likuwa mlango wa mbele kulia alikuwepo promoter waliokuwa wameshilikiana na petter,
ndo wakakung'utishwa mkwanja wote wa show walizo kuwa nazo.


promoter 1 alipopata nafas alikimbia na kuelekea police kutoa riport.

Wednesday, January 11, 2012

WOTE HAWA N WASHABIKI # 1 WA SHOW ZA PETTER ENTERTAINMENT

PETTER ENTERTAINMENT IKO MBELEEEEEEEEEE

Inatisha kwa burudani na kuleta wasanii kwa mji wa tarime

WASHABIKI NAMBA 1 WA SHOW ZA PETTER ENTERTAINMENT EXCLUSSIVE

huyu n mshabiki moja wapo wa show za petter entertainment,,washabiki hao huudhuria daily show zinapokuwa zinavanyika na hutoa shavu la kutosha.........1 lov.

Tuesday, January 10, 2012

Petter Entertainment: HABARI KAMILI KUHUSU SHOW YA BELLE9 NYAMONGO

Petter Entertainment: HABARI KAMILI KUHUSU SHOW YA BELLE9 NYAMONGO: belle9 www.petter-entertainment.blogsport.com Huyu ni msanii wa muzik wa bongo flava wa hapa hapa nchini Tanzania anaye tamba na track kibao...

HABARI KAMILI KUHUSU SHOW YA BELLE9 NYAMONGO

Huyu ni msanii wa muzik wa bongo flava wa hapa hapa nchini Tanzania anaye tamba na track kibao na inayo tamba kwa sasa ni kibao cha NILIPE NISEPE.
mnamo mwez wa kumi belle 9 aliombwa kupiga show na crew ya
{DJ PETTER & HF ENTERTAINMENT}katika mji wa Tarime, na mapatano yao yalikuwa ni ya show 3, na advance yake alipewa shiling laki nane (800,000/= )pamoja na pesa ya usafiri shiling 80,000/=.
belle 9 ali acept kuja kupiga show pande hizo za tarime.
mungu alisaidia katika safari yake akiwa na rafiki yake anaye itwa stone wakafika salama,
Show ilikuwa inaanza kama ifuatavyo:-  IJUMAA--SIRARI.
                                                            JUMAMOSI--TARIME.
                                                            JUMAPILI---NYAMONGO.
belle9 alichelewa kufka sirari kwa sababu waliishiwa naul walipofka mwanza,,,akamwambia promoter wake huyo anayeitwa petter,,,,,,ikAbidi akam2mia naul mana alidai ela ametumiwa ila kunakazi kafanyia...akafika saa 10 kamil jioni.
akapata msosi akamaliza promoter akamwambia twende tukapige PA/yani matangazo ya mtaani.
BELL9 alikataa kupiga PA ikabidi abembelezwe hadi akakubali kupiga PA.,,mda umekendwa. mungu akasaidia tukapiga show 2kamaliza.

KITUKO ALICHOFANYA BELL9
Asubuh akataka kutoroka walinzi wakamzuia akataka kuruka ukuta walinzi wakata kumpiga risasi.
Basi promoter alipigiwa simu na reception akaja katika eneo la tukio na kumuuliza belle 9 vp? mbona makubaliano yetu cyo hayo ,akasema anashow alichukua hela anataka aende tabora akapige show ya mchana afu arudi Tarime kupiga Show ya usiku, ambcho n ki2 hakiwezekani.basi aka2lizwa na walinzi yakaisha..,akaja tarime akapiga show akamaliza,jumapil akaenda nyamongo baada ya kumaliza show ndio wkatekwa na wa2 wasio julikana,,{waliotekwa n mapromoter 2 na wasanii wawil,,,
BELLE( ALIVYOWASIL TARIME}
alifungua kes kuwashitak mapromoter kuwa wanahusika na tukio..had sasa kesi bado inaendeshwa katika ki2o cha TARIME central.

by Petter Entertainment show.

Monday, January 9, 2012

Petter entert..

inapenda kuwatangazia kuanzia mwez wa 2 atakuwa anapolomosha show za ukwel pande zile za TARIME katika ukumbi wa JJ CLUB.

nyote mnakaribishwa xanaaa..............